The House of Favourite Newspapers

Afisa tarafa matatani kwa ubakaji

0

IMG_3506Binti anayedaiwa kubakwa.

Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYKO
PWANI: Afisa Tarafa mmoja mkoani hapa, ameingia matatani akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita (jina linahifadhiwa) ndani ya ofisi yake na kumsababishia maumivu makali.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, denti huyo mwenye umri wa miaka 12, alisema afisa tarafa huyo amembaka mara tatu kwa siku tofauti na kwamba siku ya kwanza, alimuita ofisini kwake wakati akitoka shuleni.

“Asubuhi wakati tunaenda shuleni na wenzangu, tulipita jirani na ofisi yake tukamkuta akiwa nje, akawa anatukonyeza, wenzangu wakasema ndiyo kawaida yake,” alisema mwanafunzi huyo kwa uchungu na kuongeza kuwa baada ya muda wa masomo kuisha, akiwa anarejea nyumbani kwao akiwa peke yake, afisa tarafa huyo alimuita.

“Aliniuliza kama najua kucheza mchezo wa kibabababa, nikamjibu sijui, akaniambia atanifundisha, akaniingiza ofisini kwake. Nilipofika ndani alianza kuniambia ananifundisha mchezo wa kibabababa, akachukua koti lake na kuniziba mdomo nikawa nakosa hata pumzi, akanivua nguo naye akavua zake akanipakata na kuanza kunibaka……….  Endelea kusoma kwa kufanya yafuatayo hapa chini..

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA RISASI JUMATANO, LEO April 27, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

 

Leave A Reply