testiingg
The House of Favourite Newspapers

Aishi Manula Akanusha Kuongeza Mkataba Simba, Akiri Msimu Ulikuwa Mgumu-Video

0
Kipa wa Simba Aishi Manula (katikati) akipokea tuzo ya beki bora kwa niaba ya Enock Inonga jana katika hafla ya tuzo za TFF

MLINDA mlango wa Klabu ya soka ya Simba Aishi Manula amekanusha tetesi za kuongeza mkataba kwenye timu hiyo ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

 

Pia ameeleza kwamba anatamani kupata timu nyingine ambayo ataichezea na yuko huru kuichezea timu yoyote kwani hata uongozi wa klabu ya Simba ambayo anaichezea kwa sasa umesharidhia kuondoka kwake klabuni hapo na endapo kama atapata timu sahihi ya kuichezea basi klabu yake iko tayari kumruhusu bila pingamizi lolote.

Leave A Reply