The House of Favourite Newspapers

AJALI: Basi la Tashriff Latekeketea kwa Moto Tanga

Basi la Kampuni ya Tashriff limeteketea kwa moto leo asubuhi karibu na Kituo cha Mafuta kilichopo Kange Mkoani Tanga. 

Hakuna abiri aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa. Aidha, thamani ya mali zilioteketea bado haijafahamika.

Endelea kufuatilia taarifa zetu, tutakujuza zaidi.

TAMBWE Akomeshwa Birthday Yake/ Yondani, Pato Wamchakaza

Comments are closed.