The House of Favourite Newspapers

WATANO WAGONGWA NA LORI WAKITOKA HARUSINI, WAFARIKI – VIDEO

AJALI mbaya ya lori la mchanga lenya namba za usajili T155 ATC kugongana na gari la abiria aina ya Toyota Hiace imetokea majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Januari 5, 2019 katika maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambapo lori hilo limeacha njia na kutumbukia mtaroni.


Kutokana na taarifa ambazo hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi, inadaiwa kuwa lori hilo liliigonga Hiace ikiwa imebeba watu wengi waliyokuwa wakitoka kwenye harusi na kusababisha vifo vya watu watano na wengine kujeruhiwa.

=====

GLOBAL TV – RIPOTA ni You Tube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi. Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

SHARE NA ULIMWENGU wapate kufahamu kinachoendelea hapo ulipo. Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia.

SUBSCRIBE NOW: Global TV Ripota

Comments are closed.