The House of Favourite Newspapers

Ajali Mbaya ya Coaster na Lori Yaua Muheza, Tanga

0

TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Lusanga wilayani Muheza ambapo basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Korogwe limegonga lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu 4 na 15 kujeruhiwa.

Baada ya kuokolewa, Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali Teule ya Muheza kwa ajili ya matibabu.

Taarifa zaidi tutakujuza.

 

Leave A Reply