The House of Favourite Newspapers

AKA Afunguka KOLABO na DIAMOND na HARMONIZE! – VIDEO

MSANII nguli wa muziki kutoka Africa Kusini, AKA, ametua Bongo mapema leo na kufikia katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.

 

Kitu kikumbwa kilichomleta AKA Bongo ni kusheherekea birthday yake na alipozungumza na waandishi wa habari amesema yupo katika mikakati ya kufanya ngoma na Diamond na Harmonize kutoka WCB.

VIDEO: MSIKIE AKA AKIFUNGUKA

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.