The House of Favourite Newspapers

Alichokiandika Diamond Baada Ya Kukutana Na Balozi wa Tanzania Comoro

 

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha  wamekutana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro.

 

 

Diamond ameweka picha ya pamoja katika akaunti yake ya Instagram na kuandika, “Earlier today when i visited the Tanzanian Embassy in Comoros,”(Mapema leo (jana) nilipotembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania (Comoro)

 

Comments are closed.