The House of Favourite Newspapers

Alichokisema LUGOLA Kwenye Kongamano la Usalama Barabarani – VIDEO

Kongamano la usalama barabarani ambalo ni mbadala wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani linafanyika leo Machi 30.

Kongamano hilo ambalo mgeni rasmi ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola, linafanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam..

Comments are closed.