The House of Favourite Newspapers

ALICHOKISEMA RC PAUL MAKONDA LEO – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoendelea na Kampeni za Uchaguzi wa marudio katika jimbo la Ukonga na kata mbili zilizopo katika wilaya ya Ilala kuhakikisha wanafanya kampeni zao kwa utulivu huku wakizingatia amani na usalama wa nchi.

Comments are closed.