The House of Favourite Newspapers

Ally Hapi Achaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Umoja Wa Wazazi Tanzania

0
Ally Salum Hapi

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi imemchagua Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania

Hapi ana chukua nafasi ya Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga
Aidha, Hapi amewahi kuwa Mkuu wa Mikoa ya Tabora, Mara na Iringa

Leave A Reply