The House of Favourite Newspapers

Amber Lulu Awateka Mashabiki Geita Eid El Fitr

Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago (video vixen) Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ akicheza na shabiki wake usiku wa kuamkia leo Geita.
…Akiendelea kukata mauno na mashabiki zake.
…Akiongea na mashabiki wake.
Makamuzi yakiendelea.

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’ Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amefanya shoo ya aina yake  stejini usiku wa kuamkia leo Geita. Shoo hiyo iliandaliwa na Sports and Music Festival 2018.

Msanii huyo amewadatisha mashabiki zake baada ya kucheza na wanaume tofauti stejini huku akikata mauno.

PICHA NA AMOS NYANDUKU/GLOBAL TV GEITA

 

Comments are closed.