The House of Favourite Newspapers

AMBER RUTTY Alivyonaswa akinunua gauni la MILIONI 2! – VIDEO

Kama ulikuwa huamini kuwa Mwanamuziki na Video Queen, Amber Rutty amefunga ndoa na Mpenzi wake Davil, basi inakupasa ukubali kwani wao wenyewe wamethibitisha hilo.

Global TV Imemnasa Amber Rutty akiwa katika duka la nguo akinunua gauni la kutokea nje ikiwa ni siku saba zimepita tangu afunge ndoa na kwa mujibu wake gauni hilo limegharimu Milioni Mbili za Kitanzania.

 

Comments are closed.