The House of Favourite Newspapers

“MBOWE Anajifanya MUNGU Mtu, Ajivue UENYEKITI Chadema” – MKURUGENZI

KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi za kiraia (ADO), Zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, amezungumza na waandishi wa habari leo Januari 6, 2018 kuhusiana na sakata la muswada wa mabadiliko ya vyama vya siasa ambalo siku za hivi karibuni limekuwa gumzo baada ya Vyama vya upinzani kuungana na kupinga muswada huo ambapo mpaka sasa kesi ipo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.

Comments are closed.