The House of Favourite Newspapers

ANTONIO NUGAZ Awatuliza Mashabiki wa YANGA -Video

0


Alichokisema Afisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio baada ya timu yake kulazimishwa sare ya pili mfululizo nyumbani baada ya kumaliza dakika 90 bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Sare hiyo inawaongezea pointi moja Yanga SC na kufikisha pointi 39 katika mchezo wake wa 20 wa msimu, ikibaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 44 na mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 56 baada ya wote kucheza mechi 22.

Leave A Reply