The House of Favourite Newspapers

Anza Jumatatu Yako na Meridianbet

0

Jumatatu ya leo imekaa kwa kupiga hela kabisa ambapo mechi nyingi zinapigwa katika viwanja mbalimbali huku ODDS KUBWA na machaguo ya kutosha yakiwa yamewekwa tayari.

Tukianza na SERIE A pale ACF Fiorentina atazipiga dhidi ya Genoa ambapo timu hizi hazitofautiana sana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni nafasi ya 12. Meridianbet wamempa Fiorentina nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.88 kwa 4.11. Wewe unampa nani? Beti hapa.

Huku Atalanta wao watakuwa na kibarua cha kuwakabili  Hellas Verona ambao wana msimu mbaya sana wakishika nafasi ya 18 kwenye ligi. Vijana wa Gasperini wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo huku wakipendelewa kuibuka videdea leo kwa ODDS 1.42 kwa 7.25. Mechi ya mkondo wa kwanza, Atalanta walishinda. Tengeneza jamvi lako hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

EPL leo hii kutakuwa na mechi moja ambayo ni Chelsea dhidi ya Everton katika dimba la Stamford Bridge majira ya saa 4:00 usiku. The Blues wametoka kutoa sare mchezo uliopita huku wageni wao wakishinda. Mara ya mwisho kukutana Pochettino na vijana wake walipoteza mechi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii sasa na imepewa ODDS 1.68 kwa mwenyeji na 4.41 kwa mgeni.

Ligi nyingine ni ya LALIGA ambayo nayo itakuwa na mechi moja kali Osasuna atamenyana dhidi ya Valencia CF. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi huku mgeni akiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee na mara ya mwisho mgeni alipoteza. Je leo anaweza kupindua meza ugenini?. Jisajili hapa.

Leave A Reply