The House of Favourite Newspapers

Arejea Kwake Baada ya Miaka 51, Afanyiwa Bonge la Pati – Video

Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Mara kadhaa huwa tnasikia tu kuhusu watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na kupatika ndani ya muda mfupi iwe siku, wiki au ikizidi sana ni miezi kadhaa.

 

Hii imekuwa tofauti huko nchini Kenya ambapo Francis Muthua Chege mzee mwenye umri wa miaka 81, amerejea kwake baada ya kupotea kwa miaka 51.

TAZAMA HAPA

Comments are closed.