The House of Favourite Newspapers

Asimulia Alivyomwagiwa TINDIKALI na MKE Mwenza – Video

INASIKITISHA SANA! MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Vumilia Sankemwa (32) amefanyiwa ukatili wa aina yake na mke mwenzake katika Kata ya Ilomba jijini Mbeya ambapo mama huyo alisimulia simulizi ya tukio ambayo inasikitisha.

 

Anadai kulikuwa na ugomvi baina yao baada ya mume huyo kufariki, siku moja alikutana na mama huyo aliyefahamika kwa jina la Emmy Kyando (40), mkazi wa Sae mkoani humo (ambaye inadaiwa kuwa ni mke mwenza wa muhanga wa tukio hilo) na mara baada ya kuonana naye aliwamwagia kimiminika hicho katika sehemu mbalimbali katika miili yao na baada ya hapo waliweza kupata msaada toka kwa wasamaria wema kwa kupelekwa Hospitali ya Rufaa Mbeya kwa matibabu.

 

Mwankemwa amefunguka tukio zima lilivyokuwa hadi kumwagiwa tindikali ya mke mwenzake  huyo. Tazama hapa chini.

Comments are closed.