The House of Favourite Newspapers

Askari Wakimpiga Mtuhumiwa Wa Ujangili, Mamlaka Yatoa Tamko-Video

0

Wizara ya maliasili na utalii imetoa ufafanuzi kuhusu picha ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha tukio la askari wa uhifadhi wakiwapiga na kuwatesa watuhumiwa wa ujangili katika pori la akiba.

 

Leave A Reply