The House of Favourite Newspapers

ASLAY Ashtukiza kwenye SHOO ya KING KIBA – VIDEO

HIT MAKER wa ngoma ya kwa raha, Aslay Isihaka, ameibuka kwenye usiku wa Funga Mwaka na King Kiba na kupanda stejini kisha kupafomu wimbo wake mmoja tu wa Pusha.

Shangwe, kelele na mayowe yakapigwa sana baada ya kipenzi huyo cha Mabinti kupanda stejini na kuangusha rasharasha za burudani kama sehemu ya kumsapoti King Kiba.

Comments are closed.