The House of Favourite Newspapers

Bodaboda Apata Ajali Ya Kimauzauza, Abiria Aliyembeba Atoweka – Video

0


Kijana Razack anayeishi kwa kumlea mama na wadogo zake kwa shughuli ya kuendesha bodaboda yupo hoi kitandani baada ya kupata ajali ambapo abiria aliyembeba alitoka kwenye ajali hiyo akiwa salama na kuondoka zake tukio lililowashangaza baadhi ya mashuhuda.

Hata Global Tv ilipozungumza na Razack alikiri kutofahamu alipoelekea abiria huyo baada ya kuzimia kwenye tukio la ajali hiyo ya kutisha.

Kufuatia hali hiyo kijana huyo anawaomba Wasamaria wema wakiwemo bodaboda wenzake popote pale walipo kumsaidia kwa hali na mali kwa ajili ya gharama za matibabu.

Razack amewaomba Wasamaria hao kumchangia chochote walichojaaliwa kupitia namba ya simu 0693-559649 jina la usajili Mwajuma Para.

Leave A Reply