The House of Favourite Newspapers

Profesa Kabudi: Hayati Nyerere Amefariki Ila Amegoma Kufa – Video

0

Mbunge wa Kilosa, Palamagamba Kabudi, ameshauri kuwa ndege kubwa ya Dreamliner iliyonunuliwa na inatarajiwa kufika nchini hivi karibuni ipewe jina la Julius Nyerere Kazi Iendelee ili kumuenzi Baba wa Taifa kwa kazi kubwa aliyoifanya.

Akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 jana Mei 6, 2026 Kabudi amesema Nyerere amefariki ila amegoma kufa na hii inatokana na miradi mikubwa aliyoianzisha ambayo imesaidia kuleta maendeleo ikiwemo usafiri wa anga.

Leave A Reply