The House of Favourite Newspapers

AY Afungukia Urithi wa Mama’ke

STORI: GABRIEL NG’OSHA | RISASI | MIKITO NUSUNUSU

IKIWA ni miaka nane sasa tangu mama mzazi wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ambwene Yessayah ‘AY’, Lydia Bizima afariki dunia, staa huyo ameibuka na kueleza urithi alioachiwa na mama yake. Akibonga na Mikito Nusunusu , AY alisema enzi za uhai wa mama yake alikuwa akimuhusia sana kuhusu kujiamini, kujituma ambapo kila

anapoyakumbuka maneno hayo, anajikuta akipata nguvu na kufanya mambo makubwa na mazuri zaidi. “Mama yangu kipenzi aliniachia urithi mzuri kwani mara nyingi alikuwa akinisisitizia kuwa ni lazima nijiamini, nijitume na nifanye kazi nzuri kwa sababu yeye pia alikuwa anajiamini sana na mpiganaji hivyo nimeufanyia kazi ndiyo maana niko hivi nilivyo leo,” alisema AY

Save

Save

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Save

Save

Comments are closed.