Harmonize Akiri Kumsindikiza Poshy Queen Toileti Kwa Jinsi Alivyopagawa Naye
Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize ameendelea kukiri mapenzi yake mazito kwa mpenzi wake, Poshy Queen huku uhusiano wao ukiendelea kuimarika.
Bosi huyo wa Konde Music Worldwide ameposti video…