The House of Favourite Newspapers

Azam Yatangaza Kumsajili Mshambuliaji Mpya kutoka Colombia

0

Klabu ya Azam FC imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Franklin Navarro (24) kutoka kwa vigogo wa Colombia. Navarro anakuwa Mcolombia wa kwanza kucheza kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara.

Leave A Reply