B.o.T YATAJA SABABU ZA KUTUMIA JWTZ KUKAGUA MADUKA ARUSHA

Gavana wa  Benki Kuu ya Tanzania (B.o.T), Prof. Florens Luoga amesema walilazimika kutumia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakati wa operesheni maalum ya ukaguzi wa maduka ya kubadilishia fedha mkoani Arusha kutokana na askari wengi wa Jeshi la Polisi kutumika katika kusimamia ulinzi wa mitihani ya Kidato cha Pili.

 

Daktari Amchoma Mtoto Sindano ya SUMU, Mkono Wakauka!

Toa comment