The House of Favourite Newspapers

Baada ya Kuhama CUF, Mtolea Aapishwa na Ndugai – Video

Aliyekuwa Mbunge mteule Abdallah Mtolea ameapishwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuwa Mbunge kamili wa Temeke (CCM) wakati wa kuanza kwa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa 14 wa Bunge la 11, leo jijini Dodoma.

 

Novemba 15, 2018, akiwa bungeni jijini Dodoma, Mtolea alijivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Ubungena nafasi zote ndani ya CUF akidai kumekuwa na migogoro mingi ndani ya chama chake.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.