The House of Favourite Newspapers

Baba Levo: Niuweni

0

KOMEDIANI ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo anasema kuwa, endapo ngoma yake ya Hellow haitatrendi, basi watu wamuue.

Alhamisi iliyopita, Baba Levo alisema kuwa, anatarajia kuachia ngoma hiyo mpya.

Baba Levo anasema; “Wakati nasubiri video ya Singeli Amapiano, naachia ngoma nyingine inaitwa Hellow.

“Niliwaahidi kubadili muziki wangu wa mwaka 2021 na sasa mtapata testi mpya ya muziki wangu 2022..!!

“….Hellow nisipokaa kwenye top five za nchi hii niuweni…”

STORI; KHADIJA BAKARI, DAR

Leave A Reply