The House of Favourite Newspapers

Baba wa Michael Jackson Hospitalini Akiumwa Saratani

Michael Jackson's dad Joe Jackson in hospital with Terminal Cancer | BellaNaija

Mzee Joe Jackson.

MZEE Joe Jackson, baba wa wanamuziki, hayati  Michael Jackson na  Janet Jackson,  amelazwa hospitalini akiwa anaugua saratani ambayo madaktari wamesema hatapona.

Wanafamilia wa mzee huyo wamekuwa wakimtembelea hospitalini hapo akiwa kitandani akisubiri ugonjwa huo ambao hivi sasa uko katika hatua za mwisho.

 

Comments are closed.