The House of Favourite Newspapers

BADO NAY ANAMPENDA NINI

Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ na Nini

MWANA-MUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ameeleza la moyoni kuwa bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake, Nini na endapo atarudi atakuwa tayari kumpokea.

Nay aliliambia Ijumaa Wikienda: “Bado ninampenda sana Nini na hata kama akirudi leo hii akahitaji kurudiana na mimi, nitakuwa tayari kumpokea.” Nay alizama kwenye penzi zito na Nini ambaye naye ni msanii wa Bongo Fleva ambapo licha ya kuonekana kuweka hadharani mapenzi yao, lakini hawaku-dumu kwa muda mrefu.

MEMORISE RICHARD

Comments are closed.