The House of Favourite Newspapers

MASTAA WENYE WAFUASI WENGI ZAIDI INSTAGRAM 2018

MASTAA ni watu wanaowavutia watu wengi duniani.  Kwa mwaka huu ni staa gani atayakeshinda mpambano wa umaarufu duniani kupitia mitandao?

Rihanna (Ana wafuasi milioni 63,5)

Katy Perry (Wafuasi  mil. 70,5)

Kendall Jenner (mil. 92.1)

Neymar Jr. (mil. 95.5)

Justin Bieber (mil. 100)

Dwayne The Rock Johnson (mil. 108)

Taylor Swift (mil. 109)

Kylie Jenner (mil. 110)

Kim Kardashian (mil. 113)

Beyonce (mil. 115)

 

Ariana Grande (mil. 122)

Cristiano Ronaldo (mil. 130)

Selena Gomez (mil. 138)

 

Comments are closed.