The House of Favourite Newspapers

Bale, Griezmann na Ronaldo Kuwania 2015/16 UEFA Best Player Leo

0

bale-griezmann-ronaldo-la-liga_3770088Gareth Bale, Antoine Griezmann na Cristiano Ronaldo ndiyo wachezaji pekee waliobakia kwenye mchujo wa mwisho kabla ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya (UEFA 2015/16) ambapo mshindi anatarajiwa kutangazwa leo Alhamisi kwenye droo maalum ya kupanga makundi ya timu zitakazocheza kuwania kufuzu Ligi ya Mabingwa (Champions League) droo ambayo itafanyika huko Monaco.

Wakali hao watatu ndiyo walipata kua nyingi zaidi kuliko wengine ambao waliingia nao kwenye hatua ya kumi boa ya kuwania tuzo hiyo.

Messi alichukuwa tuzo hiyo msimu wa 2014/15, lakini mwaka huu ni zamu ya aidha Bale, Griezmann au Ronaldo

Rekodi za Gareth Bale 2015/16

Competition Appearances Goals Assists
La Liga 21(2) 19 10
Champions League 8 0 3
Euro 2016 6 3 1

Bale anawastani wa kufunga goli moja kwa kila dakika 92 alizocheza kwenye La Liga na amekuwa msaada mkubwa kwa klabu yake ya Real Madrid kushinda Kombe la Champions League. Alitoa assist kwa Sergio Ramos aliyanza kuifungia Real Madrid kwenye fainali dhidi ya Atletico, na alifunga penati pia kwenye mechi hiyo japo alikuwa ameumia.
Bale aliisaidia pakubwa klabu yake kuing’oa Man City kwenye Nusu Fainali ya Champions League.

Fullscreen capture 8252016 10427 PMWiki chache baadaye, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alipambana na kuisaidia Timu tyake ya Taifa ya Wales hadi kufikia hatua ya nusu fainali kwenye Kombe la UEFA-Euro 2016 ambapo walitolewa na Ureno na kujitengenezea heshima na historia kubwa baada ya kuipiga Ubelgiji mabao 3-1 kwenye robo fainali za kombe hilo.

Rekodi za Antoine Griezmann 2015/16

Competition Appearances Goals Assists
La Liga 36(2) 22 5
Champions League 13 7 1
Europ 2016 6(1) 6 2

Griezmann amejitengenezea heshima kwa kuifungia Atletico Madrid, na kufunga magoli 22 kwenye La Liga huku wakimaliza nafasi ya 3 kwa kuzidiwa pointi 3 na mabingwa Barcelona na pointi mbili na Real Madrid. Atletico walipigwa na  Real Madrid kwenye fainali za Champions League.

Mchango wa Griezmannkwenye timu ya taifa ya Ufaransa wakati wa Fainali za Euro mwezi uliopita zilionekana kwa kuwa mfungaji bora akifunga mabao sita na kuisaidia timu yake kucheza fainali hizo ambazo walifungwa na Ureno ikachukua kombe.

Rekodi za Ronaldo’s 2015/16

Competition Appearances Goals Assists
La Liga 36 35 11
Champions League 12 16 4
Euro 2016 7 3 2

Kwa Ronaldo imekuwa ni kama neema kwake kwa msimu uliopita wa mwaka 2015/16, amefunga magoli 36 la Liga, 16 ya Champions League na kuwa mfungaji bora wa Champions League.

pia ameisaidia Timu yake ya taifa kushinda Kombe la Euro baada ya Ureno Kuichapa Ufaransa bao 1-0 kwenye fainali huku akiumia na kutolewa nje kabla ya mpira kuisha.

Pia Ronaldo ndiye aliyeingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kiatu cha dhahabu cha Mchezazi Bora wa Dunia ‘Bllon d’Or’ ambazo hutolewa na FIFA. Tuzo hiyo alishinda Messi na kuitwaa mara 5 kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mchezaji yeyote duniani.

Top ten (in alphabetical order)
Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
Gianluigi Buffon (Juventus & Italy)
Antoine Griezmann (Atlético Madrid & France)
Toni Kroos (Real Madrid & Germany)
Lionel Messi (Barcelona & Argentina)
Thomas Müller (Bayern München & Germany)
Manuel Neuer (Bayern München & Germany)
Pepe (Real Madrid & Portugal)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Portugal)
Luis Suárez (Barcelona & Uruguay)

Remaining nominees (based on number of votes received)

11 Riyad Mahrez (Leicester & Algeria)
12 Jamie Vardy (Leicester & England)
13 Dimitri Payet (West Ham & France)
14 Jérôme Boateng (Bayern München & Germany)
15 Arturo Vidal (Bayern München & Chile)
16 Luka Modrić (Real Madrid & Croatia)
17 N’Golo Kanté (Leicester & France)
18 Zlatan Ibrahimović (Paris Saint-Germain/Manchester United & Sweden)
19= Eden Hazard (Chelsea & Belgium)
19= Andrés Iniesta (Barcelona & Spain)
19= Neymar (Barcelona & Brazil)
19= Renato Sanches (Benfica/Bayern München & Portugal)
23 Robert Lewandowski (Bayern München & Poland)
24 Gonzalo Higuaín (Napoli & Argentina)
25= Giorgio Chiellini (Juventus & Italy)
25= Diego Godin (Atlético Madrid & Uruguay)
25= Will Grigg (Wigan & Northern Ireland)
25= Hugo Lloris (Tottenham & France)
25= Paul Pogba (Juventus & France)
30= Toby Alderweireld (Tottenham & Belgium)
30= Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund & Gabon)
30= Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium)
30= Kevin Gameiro (Sevilla & France)
30= Grzegorz Krychowiak (Sevilla/Paris Saint-Germain & Poland)
30= Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain & France)
30= Georges-Kévin N’Koudou (Marseille & France)
30= Jan Oblak (Atlético Madrid & Slovenia)

BEST PLAYER IN EUROPE

2010–11 – Lionel Messi

2011–12 – Andres Iniesta

2012–13 – Franck Ribery

2013–14 – Cristiano Ronaldo

2014–15 – Lionel Messi

Leave A Reply