The House of Favourite Newspapers

BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia), akizungumza na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya aliyefika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza ushirikiano. Picha na Jeshi la Polisi.

 

IGP Simon Sirro, akiwa katika picha na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya pamoja na ujumbe alioongozananao Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza ushirikiano.. Picha na Jeshi la Polisi.

 

Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay (kushoto), mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, wakati alipofika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia ametumia fursa hiyo kujadiliana masula ya Kiusalama. Picha na Jeshi la Polisi.

 

Comments are closed.