The House of Favourite Newspapers

Barca ‘Yaitumbua’ Arsenal UEFA

0

Arsenal vs Barca (1)Messi (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Arsenal Gabriel (kushoto) na Mohamed Elneny.

KIKOSI cha Arsenal usiku wa kuamkia leo kimeaga michuano ya Klabu Bingwa Ulaya ‘UEFA’ baada ya kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Barcelona kwenye mechi ya marudiano iliyopigwa Nou Camp, Barcelona.

Mabao ya Barcelona yaliwekwa kimiani na Neymar dk 18, Luis Suarez dk 65 na Lionel Messi dk 88 huku la Arsenallikifungwa na Mohamed Elneny dk 51.

Kwa matokeo hayo ya 3-1, Arsenal wamefungasha virago kwa kipigo cha jumla ya mabao 5-1.

Arsenal vs Barca (2)Neymar akimalizia pasi ya Luis Suarez na kuifungia timu yake balo la kwanza.Arsenal vs Barca (3)Sanchez (wapili kulia) akishindwa kuitumia nafasi vizuri na kukoswa bao la wazi.

Arsenal vs Barca (4)Wenger akionesha kutofurahia matokeo aliyoyapata. Arsenal vs Barca (5)Kikosi cha Barcelona wakishangilia. Arsenal vs Barca (6) Elneny akijitutumua kulenga langoni. Arsenal vs Barca (8)Shuti la Elneny likitolewa nje na golikipa wa Barcelona. Arsenal vs Barca (10)

Arsenal vs Barca (11)goalkeeper Kipa wa Arsenal, Ospina akishangaa mpira uliopigwa na Suarez ukizama langoniArsenal vs Barca (9)Kikosi cha Barca kilichoitumbua Arsenal jana.

Arsenal vs Barca (12)Mnyama, Luis Suarez akijikunja kuipatia timu yake bao la pili. Arsenal vs Barca (14)Arsenal vs Barca (13)Suarez baada ya kufunga bao la pili, akishangilia na Jordi Alba (kulia).Arsenal vs Barca (20)Arsenal vs Barca (21) Arsenal vs Barca (15)

Bao la tatu, Lionel Messi akiachia shuti lililomshinda kipa wa Arsenal, David Ospina na kuingia langoni.

Arsenal vs Barca (16)Bao la Suarez lilivyotokea.  Arsenal vs Barca (18)Meneja wa Barcelona, Luis Enrique akicheki mechi bila wasiwasiArsenal vs Barca (19)Mjeruman, Ozil akiondoka na mpira.Arsenal vs Barca (22)

Sanchez na Ozil wakisubiri kuanzisha mpira baada ya bao la kwanza la Neymar. Arsenal vs Barca (24)Alex Iwobi wa Arsenal forward (kulia) akijaribu kupiga shuti golini.

Arsenal vs Barca (25) Arsenal vs Barca (26) Arsenal vs Barca (27) Arsenal vs Barca (28) Arsenal vs Barca (29) Arsenal vs Barca (30) Arsenal vs Barca (31) Arsenal vs Barca (32) Arsenal vs Barca (33) Arsenal vs Barca (34)

Leave A Reply