Barua Kutoka kwa Mwenye Women Matters Yake

MPENZI wangu…Najua ulitumisi…Najua kimya chetu hakikuwa na majibu sahihi kwako….Nilipata jumbe zako za malalamiko ukiulizia kipindi..Kweli nilizisoma kwa UCHUNGU na sikuweza kukujibu sababu nilikuwa SINA MAJIBU… Guess what?

 

WE ARE BACK na hatuta kuangusha….Kaa tayari kujifunza kutoka kwa WAFUNZI waliopitia, kusikia na kuyaona mengi maishani… Let’s share maisha yetu kama jadi yetu.

 

Utatupata hapa kupitia Global Tv OnlineĀ  kila Jumapili usiku, kuanzia Jumapili ijayo

This is WOMEN MATTERS with LILLIAN MWASHA.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)


Toa comment