The House of Favourite Newspapers

Bashiri na Meridianbet Uibuke Kuwa Milionea Sasa

0

Hatimaye wikendi ndiyo hiyo imefika na mechi mbalimbali kutoka ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kesho huku meridianbet nao wakiwa tayari wamejiandaa kumwaga pesa za kutosha. Bashiri sasa uwe tajiri hapa.

Tukianza na SERIE A, zitapigwa mechi mbili pekee ambapo AS Roma atamenyana vikali dhidi ya Hellas Verona ambaye yupo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Roma wakiwa bila Mourinho wanaweza kuondoka na ushindi mbele ya Verona ambaye amepewa ODDS 7.64 kwa 1.44.? Beti sasa.

Usiku wa kesho pale Italia utaisha kwa mechi ya wenyeji Udinese dhidi ya AC Milan ambao walitoka kutoa kichapo mchezo wao uliopita. Milan chini ya Stephano Pioli kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.94 kwa 3.92. Je nani ni nani hapo kesho?.

Ni rahisi sana kwako kutengeneza pesa ya haraka kama utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na uanze kucheza sasa.

Ligi pendwa Duniani EPL napo kutakuwa na michezo miwili huku mapema kabisa  Arsenal atafuana dhidi ya Crystal Palace huku nafasi ya kushinda mchezo huo akipewa The Gunners kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Mara ya mwisho kukutana, Arteta na vijana wake walishinda. Je mgeni kulipa kisasi kesho?. Beti sasa

Na baadae hapo saa 2:30 Brentford atakuwa akijiuliza maswali dhidi ya Nottingham Forest, huku timu hizo zikitofautiana pointi moja pekee. Nyuki kushinda mechi hiyo wamepewa ODDS 1.89 kwa 3.87, pia Ivan Toney anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa kesho baada ya adhabu yake ya kufungiwa miezi 8 kuisha. Nani kuondoka na ushindi?. Jisajili na ubeti hapa.

Kwingineko LALIGA pesa ipo nje nje Rayo Vallecano atakiwasha dhidi ya UD Las Palmas ni mechi ya kibabe sana ambayo imepewa ODDS 1.88 kwa 4.31. Ikumbukwe kuwa mwenyeji alipoteza mchezo uliopita huku mgeni akishinda. Suka mkeka wako hapa.

Saa 12:15 jioni Nyambizi wa Njano, Villarreal watawakaribisha Mallorca huku timu hizi zikiwa na pointi sawa 19 baada ya kucheza michezo yao 20 hadi sasa. Mwenyeji amepoteza mchezo uliopita, na mgeni alitoa sare, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.06 kwa 3.52. Ingia meridianbet na ubeti.

Nao Valencia watakuwa wakipepetana na Athletic Bilbao ambaye amekuwa na mwennendo mzuri kwenye ligi kwani anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo hadi sasa na mwenyeji wake yupo nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana walitoka sare. Je nani kushinda kesho?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Vilevile ligi ya BUNDESLIGA itarindima kwa namna yake timu kuchuana vikali, tukianza na mechi kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. 1.67 ndio ODDS waliyopewa vijana wa Edin Terzic kwa 4.50. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Katika Red Bull Arena kutakuwa na mechi ya moto, yani mechi ya viwango haswa ambapo RB Leipzig atamleta nyumbani kwake kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii RB kwa ODDS 2.40 kwa 2.65. Je vijana wa Alonso watakubali kupoteza mchezo huo kesho?. Na je vipi Leizpig watakuwabli kipigo cha pili kutoka kwa Leverkusen?. Bahiri na meridianbet upige maokoto.

Mechi nyingine ya kuvutia ni hapa inayowakutanisha Bochum dhidi ya VFB Stuttgart ambao msimu huu wanafanya vizuri wakiwa nafasi ya 3 hadi sasa huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 14. Kushinda mechi hii VFB wamepewa ODDS 1.91 kwa 3.62. Je mwenyeji atalipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kubamizwa?. Tengeneza jamvi mapema hapa.

Pia SC Freiburg atamualika TSG Hoffenheim na timu hizo tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, kwani wamefuata kwenye msimamo wa ligi hiyo mwenyeji akipewa ODDS 2.01 kwa 3.33. Beti sasa.

 

Leave A Reply