The House of Favourite Newspapers

Basi La Jambo Lateketea Kwa Moto, Hofu Yatanda Juu ya Vifo na Majeruhi

0
Basi la Kampuni ya Jambo Food Products

BASI la Kampuni ya Jambo Food Products lenye namba za Usajli T.841 DHY linalotumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea kwa moto mapema asubuhi ya leo Ijumaa, Agosti 12, 2022 katika eneo la Bugweto Mjini Shinyanga.

 

Aidha, bado haijafahamika iwapo kuna majeruhi ama vifo vilivyotokea kutokana na ajali hiyo ambayo imetokea wakati basi hilo likitoka kupeleka wafanyakazi.

Leave A Reply