The House of Favourite Newspapers

Beckham amuandaa Cruz kuwa Bieber

0

LOS ANGELES, CA - APRIL 15: David Beckham (L) and his son Cruz Beckham attend a basketball game between the Dallas Mavericks and the Los Angeles Lakers at Staples Center on April 15, 2012 in Los Angeles, California. (Photo by Noel Vasquez/Getty Images)David Beckham na mwanaye Cruz Beckham

MWANASOKA wa zamani wa Man United ya England na Madrid ya Hispania, David Beckham na mkewe Victoria inasemekana wanamuandaa kijana wao mdogo Cruz mwenye umri wa miaka 11 kuwa Justine Bieber mpya kwenye anga la muziki duniani.

Tetesi hizo zimeibuka kufuatia kusambaa video mbalimbali zinazomuonesha Cruz akiimba nyimbo za wasanii wakubwa duniani zikiwemo When I’m Gone na Pitch Perfect wa Anna Kendrick huku akionesha uwezo mkubwa kama ilivyokuwa kwa Justine Bieber  akiwa na umri kama huo.

Leave A Reply