The House of Favourite Newspapers

Selena Gomes Kumpaisha Justine Bieber?

0

LOS ANGELES, CA - APRIL 17: Selena Gomez (L) and Justin Bieber attend a basketball game between the San Antonio Spurs and the Los Angeles Lakers at Staples Center on April 17, 2012 in Los Angeles, California. (Photo by Noel Vasquez/Getty Images)

Selena Gomez  ana Justin Bieber

MOJA ya stori zinazo ‘run’ kwa sasa ni juu ya kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonesha maisha halisi ambacho anategemea kukirekodi mwanadada anayefanya poa kwenye gemu la muziki Marekani, Selena Gomes ambacho kitaandaliwa na muandaaji maarufu wa vipindi Kevin Spacey .

Gumzo ni juu ya Selena kumrusha aliyewahi kuwa mpenzi wake Justine Bieber katika kipindi hicho huku mashabiki wa wawili hao wakidai kuwa ni muhimu Selena kumrusha Justine kutokana na kuchangia kwa namna moja au nyingine kwenye maisha yake! Je, Selena atafanya hivyo? Tusubiri tuone.

Leave A Reply