The House of Favourite Newspapers

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Feb 07, 2024

0

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 7, 2024 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 3051 kwa lita, dizeli Tsh. 3029 na mafuta ya taa 2840.

Leave A Reply