The House of Favourite Newspapers

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Januari 03, 2024

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia  leo Jumatano Januari 3, 2024 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 3084 kwa lita, dizeli Tsh. 3078 na mafuta ya taa 3510.

Leave A Reply