The House of Favourite Newspapers

BELLA, RUBY, JIDE, MOBETO WALIVYOFUNIKA USIKU WA MASAUTI

Ruby alivyowajibika.

Mashabiki wa burudani usiku wa kuamkia leo walipata uhondo wa aina yake kwenye tamasha la Masauti Luxury lililofanyika Life Club Mwenge jijini Dar ambapo wasanii kadhaa walifanya makamuzik akiwemo Ruby, Christian Bella ‘Obama’ Mfalme wa Masauti’, Dogo Aslay, Lady Jaydee na wengineo.

 

Dogo Aslay akifanya yake.

Shoo hiyo sambamba umati wa mashabiki pia lilinogeshwa na wingi wa wasanii wa Bongo Muvi ambapo msanii, Ray, Irene, Uwoya, Steve Nyerere, Saguda, Chopa Mchopanga, Jike Shupa, Shamsa Ford na mumewe Chid Mapenzi na wengineo.

Mkali wa kupiga saxaphone, King Maluu (kushoto) akiwaomba mashabiki wa muziki kumsapoti mwanaye kwenye kazi zake.

Miongoni mwa mambo yaliyowanogesha mashabiki waliofurika eneo hilo ni Christian Bella alipopanda jukwaani na Hamisa Mobeto na kuimba kibao chao kipya.

Christian Bella akifanya yake jukwaani.

 

Bella akisalimiana na baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi.
Bella akiimba na Hamisa Mobeto wimbo wao mpya walioshirikiana.
Lady Jaydee akimuimbia.

 

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.