The House of Favourite Newspapers

Ben Pol ‘amsapraiz’ Fid Q

0

maxresdefaultBenard Paul ‘Ben Pol’

Stori: Mwandishi Wetu

Mwanamuziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ hivi karibuni alimfanyia ‘sapraizi’ Mwanamuziki wa Hip Hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’ baada ya kumtumia audio ya ngoma yake mpya iitwayo Moyo Mashine akitaka atoe maoni yake kabla ya kuuachia kwenye media.

10268769_1531812053713111_813434750_nFarid Kubanda ‘Fid Q’

Akipiga stori na gazeti hili Ben Pol alisema baada ya kumtumia Fid Q wimbo huo ambao mashairi yake yaliandikwa na Goodluck Gozbet ‘Lolly Pop’ huku audio ikifanya na Kid Bway, alionesha kushangazwa na idea nzima ya wimbo kiasi kwamba akaomba yeye auandikie ‘script’ ya video.

“Sikumkatalia Fid, alifanya hivyo na mawazo yake ndiyo yaliyofanikisha kichupa cha wimbo wangu kilichotengenezwa na Prodyuza Nick wa Sauzi,” alimaliza Ben Pol.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply