The House of Favourite Newspapers

Bendi ya Wanambongo Music Yazinduliwa Dar

1

Prezidaa wa Wanambongo Music Band, Kassim Mumba akicharaza gitaa sambamba na mpiga ngoma wake (kushoto).

2

Wanamuziki wa bendi hiyo wakiwa kazini.

3

Faida Ongala ambaye ni mtoto wa Hayati Dokta Remmy Ongala naye alinaswa akikamua kwenye bendi hiyo.

4

Mmoja wa waimbaji akikamua.

5

Uhondo ukiwa umekolea hawa nao walinaswa wakibanjuka kwa raha zao.

6

Shabiki huyu baada ya kunogewa aliamua kuvua shati ili afaidi vizuri.

Wakazi wa maeneo ya Kiluvya Kwa Komba jijini Dar, usiku wa kuamkia leo walipata bonge la burudani kwenye uzinduzi wa bendi mpya inayokwenda kwa jina la Wanambongo Music Band inayoongozwa na mpiga gitaa la besi, Kassim Mumba aliyewahi kutamba na bendi za Akudo, Malaika na nyinginezo.

Tukio la uzinduzi huo lilifanyika Baa ya Hill Breeze iliyopo maeneo hayo.

(HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL)

AGIZO LA SERIKALI KWA WAMILIKI WA NIGTH CLUB

Comments are closed.