The House of Favourite Newspapers

Benki ya Barclays Yaja na Mchongo Mpya Ligi Kuu England

BENKI ya Barclays imekuja na mchongo mpya ambapo kwa sasa mashabiki wa soka wa timu za Ligi Kuu England wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali.

 

Barclays wamekuwa wakiidhamini Ligi Kuu England kwa miaka kadhaa nyuma na wamekuwa wadau wakubwa sana wa ligi hiyo.

 

Sasa kwa shabiki ambaye anataka kujishindia zawadi mbalimbali kwenye ligi hiyo anachotakiwa ni kufanya hivi; Fungua akaunti ya Barclays kisha weka fedha au chanja kadi yako hadi mara tano kwa mwezi ili kuwa mshiriki.

 

Kwa maelezo zaidi, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yao ya Facebook, Twitter au piga namba 0774 700 703.

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Comments are closed.