The House of Favourite Newspapers

BENKI YAFAFANUA MBUZI KUFUNGWA KWENYE TAIRI YA GARI LA SERIKALI

Benki ya Maendeleo (TIB) imetolea ufafanuzi kuhusu picha ya gari inayosambaa mtandaoni ikionyesha gari hiyo imebeba mbuzi aliyefungwa kwenye tairi ya akiba, jambo ambalo limezua mjadala, ufafanuzi huo unaeleza kuwa kitendo hicho siyo maagizo ya TIB.

Comments are closed.