The House of Favourite Newspapers

Bethidei ya Sylvester Rambo Yafana

NGULI wa filamu, Sylvester Stallone (Rambo),  wiki hii ametimiza umri wa miaka 72 ambapo alipata pongezi nyingi kutoka kwa watu kibao mashuhuri wakiwemo Arnold Schwarzenegger, Carl Weathers, Jean-Claude Van Damme, Michael B. Jordan, Al Pacino na Dolph Lundgren.
Akizungumza jijini London wakati wa sherehe hiyo, Rambo alisema miongoni mwa furaha kubwa ya bethidei yake ni kuwepo kwa mabinti wake watatu.

Comments are closed.