The House of Favourite Newspapers

Rick Ross Kushitakiwa kwa Wizi

RAPA Rick Ross‘ wa Marekani, ametishiwa kushitakiwa na mwanamuziki Ishaq R. Muhammad  aka Young Muhammad (YM) kwa kile alichodai  mnamo Septemba 2017 aliiba kipande cha wimbo wake wa “Caprice Music” alichotunga mwaka 2007.

YM anataka kulipwa $9,999 ambazo ni sawa na Sh. mil. 22.

Comments are closed.