The House of Favourite Newspapers

Beyonce atengeneza video kwa siri

0

Beyonce--CR-Fashion-Book-2014-2015--07Diva wa Pop, Beyonce akiwa katika pozi.

STAA wa Pop, Beyoncé Knowlese juzi kati alijichimbia kwa siri katika Uwaja wa Mpira wa Mercedes-Benz Superdome na kutengeneza video yake ya wimbo mpya.

Beyonce-o2014-04

Beyonce ndani ya pozi jingine.

Kwa mujibu wa chanzo, Beyonce alifika katika uwanja huo unaomilikiwa na timu ya mpira ya New Orleans akiwa ameongozana na mumewe pamoja na timu nzima ya watayarishaji wa video.

beyonce-superdome

Picha zinazoonesha benzi la Beyonce (kwa mbali kulia) pembeni yake akiwepo na Jay-Z.

Hata hivyo, staa huyo hakutaka kabisa kuweka wazi kwa mashabiki wake japokuwa siku za nyuma pia alionekana akiangalia mazingira ya uwanja huo akiwa na Jay-Z pamoja na mtoto wao, Blue Ivy.

Leave A Reply