The House of Favourite Newspapers

Bi. Samia Afungua Mkutano wa 4 wa Kuthibiti Silaha Haramu

0

IMG_5828

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu. Mkutano huo wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.
IMG_5840

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.
IMG_5842

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.

(Picha na OMR)

Leave A Reply