The House of Favourite Newspapers

Wasomaji Gazeti la Amani wavutiwa na Shinda Nyumba

0

2.Wasomaji wa Gazeti la Amani wakiendelea kupata ufafanuzi kutoka kwa maofisa wa Global namna ya kushiriki bahati nasibu hiyo.-001  Wasomaji wa Gazeti la Amani wakiendelea kupata ufafanuzi kutoka kwa maofisa wa Global namna ya kushiriki bahati nasibu hiyo.

3.Msomaji wa Gazeti la Amani (katikati) akishiriki zoezi la kujaz akuponi yake ya Bahati nasibu ya Shinda Nyumba.Msomaji wa Gazeti la Amani (katikati) akishiriki zoezi la kujaza kuponi yake ya Bahati nasibu ya Shinda Nyumba.
4.Ofisa Masoko wa Global,Yohana Mkanda(kushoto) akimsaidia msomaji wa Gazeti la Amani (wa pili kushoto) kukata kuponi yake ili kushiriki bahati nasibu hiyo.

Ofisa Masoko wa Global,Yohana Mkanda (kushoto) akimsaidia msomaji wa Gazeti la Amani (wa pili kushoto) kukata kuponi yake ili kushiriki bahati nasibu hiyo.

5.Baadhi ya wadau wa Gazeti la Amani wakisoma vipeperushi vinavyolizungumzia gazeti hilo la Amani vilivyokuwa vikitolewa na wafanyakazi wa Global.Baadhi ya wadau wa Gazeti la Amani wakisoma vipeperushi vinavyolizungumzia  gazeti hilo la Amani vilivyokuwa vikitolewa na wafanyakazi wa Global.

WASOMAJI  wa Gazeti la Amani wa maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam wameonekana kuvutiwa na Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendelea kutisha hapa nchini, inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake.

Jana Alhamisi ambayo gazeti hilo hutoka wasomaji walionekana kuvutiwa nayo baada ya kununua gazeti hilo na  kujaza kuponi zao ili waweze kushiriki droo ya nne inayotarajiwa kuchezwa hivi karibuni.

Na Denis Mtima/Gpl

Leave A Reply